UNESCO: Linda utamaduni,sio kaa jiwe
atika nchi ya Kenya,kiwanda cha kaa jiwe kilichopendekezwa Lamu,kinatoa tishia la haraka kwa moja wapo wa eneo la asili na utamaduni kuu duniani na kupinga Maelewano ya Tabia Nchi ya Paris Lakini UNESCO,mwili wa kimataifa unaohusika na ulinzi wa maeneo haya,ina nguvu ya kufanya zaidi!
